Kiswahili Radio Programme - Timiza Ahadi
Every day, the United Nations Information
Centre (UNIC) records a 5-minute radio
Programme aired on the Kenya Broadcasting
Corporation (KBC) Radio. The Programmes
feature news related to the work of the
United Nations in Kenya.
The Programme has been on air, on
weekdays, since January 2006 at 9.15 AM,
on the Kenya Broadcasting Corporation’s
Idhaa ya Taifa (Kiswahili service).
Within
the first year, two hundred and thirty eight
(238) episodes have been aired.
The objective of the daily 5-minute Kiswahili
radio Programme is to educate the general
public on the importance of the Millennium
Development Goals and their relevance, and
to communicate to the general public the
objectivities and activities of the United
Nations Agencies operating in the country.
The Programme is presented by a KBC
Senior Radio Producer and Head of Current
Affairs, Martin King’asia, and produced by
Irene Mwakesi, National Information Officer
UNIC.
The broadcast also provides a platform for
UN agencies in Kenya to report on their
various activities across the country.
The title of the Programme and its focus
is closely related to the Millennium
Declaration and Millennium Development
Goals, the challenges to achieve them in
Kenya and achievements recorded by UN
agencies together with government and
donor partners.
| Programu za Timiza ahadi za awali |
 |
Ms Pamela Sittoni, Afisa wa Mawasiliano UNICEF-KCO azungumzia juu ya changamoto zinazowakuba watoto - 13 Decemba 2007. |
 |
Ms Pamela Tuiyot, afisa wa mawasiliano katika shirika la UNIFEM azungumzia juu ya mchango wa Umoja wa Mataifa katika uchaguzi wa Kenya mwakani- 11 Decemba 2007. |
 |
Ms Pamela Sittoni, afisa wa mawasiliano katika shirika la UNICEF_KCO azungumzia juu ya kampeni ya viongozi wanaojali watoto wakati huu wa uchaguze - 10 Decemba 2007. |
 |
Ms Pamel Tuiyot afisa wa mawasiliano katika shirika la UNIFEM, aeleza mikakati iliyowekwa na Umoja wa mataifa kuhusu dhuuma dhidi ya watu binafsi au vikundi wakati wa huu wa uchaguzii- 07 Decemba 2007. |
 |
Mr Gilruth Peters mkurugenzi wa UNEP kitengo cha tahadhali ya mapema na taadhmini, aongea juu matarajia na mapendekezo ya kwa ripoti ya GEO 4- 04 Decemba 2007. |
 |
Ms Salome Mbeyu, kutoka kitengo cha mazingira ya miji, UNEP azungumzia kuhusu jaa la taka la Dandora- 13 Novemba 2007. |
 |
Ms Patita Tongoi wa center for minority rights development wakiwa na Obbo Ruti wazungumzia juu ya mkutano unaozinduliwa kuhusu mtoto wa wafugaji wa kuhamahama- 12 Novemba 2007. |
 |
Ms Patita Tongoi wa center for minority rights development azungumzia juu ya mkutano unaozinduliwa kuhusu mtoto wa wafugaji wa kuhamahama- 26 Octoba 2007. |
 |
Mr Gilruth Peters mkurugenzi wa UNEP kitengo cha tahadhali ya mapema na taadhmini aelezea kuhusu kuzinduliwa kwa GEO-4- 25 Octoba 2007. |
 |
Ms Janice Mbugua asimulia mengi kuhusu siku ya Umoja wa Mataifa inayoadhimwishwa tarehe 24 Octoba - 24 Octoba 2007. |
 |
Mr Charles Mwangi Waituru, mshirikishi wa kitaifa wa Global Call to Action against Poverty aelezea juu ya ushirikiano wa mataifa ili kuelimisha jaa, lengo la nane (ustawishi wa ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya maendeleo) katika MDGs- 16 Octoba 2007. |
 |
Ms Karen Ekesa afisa wa Programmu katika Forest Action Network Kenya azungumzia juu ya lengo la saba, (mazingira) katika MDGs- 15 Octoba 2007. |
 |
Ms Karen Ekesa afisa wa Programmu katika Forest Action Network, Kenya azungumzia juu ya lengo la sita (Ukimwi, malaria na magojwa mengineyo) katika MDGs - 12 Octoba 2007. |
 |
Ms Sylvia Mudasia, mshirikishi wa maswala ya mawasiliano katika Afrika kwenye mikakati ya MDGs azungumzia juu ya lengo la nne na tano (afya ya kina mama na watoto) katika MDGs- 11 Octoba 2007. |
 |
Mr Edgar Charles Lumbasio, mshirikishi wa maswala ya mawasiliano katika Christian Partners Development Agency (CPDA) azungumzia juu ya lengo la tatu (maswala ya jinsia) katika MDGs - 10 Octoba 2007 |
 |
Mr Mwangi Waituru, mshirikishi wa kitaifa muungano wa mashirika yasiyo ya kiserikali (Global Call to action against poverty azungumzia juu ya lengo la pili (elimu kwa watoto wote) - 09 Octoba 2007. |
 |
Mr Edgar Charles Lumbasio, mshirikishi wa maswala ya mawasiliano katika Christian Partners Development Agency (CPDA) azungumzia juu ya lengo la kwanza (kupigana na umaskini) katika MDGs- 08 Octoba 2007. |
 |
Ms Sylvia Mudasia, mshirikishi wa maswala ya mawasiliano katika Afrika kwenye mikakati ya MDGs - 05 Octoba 2007. |
 |
Mr Mwangi Waituru, mshirikishi wa kitaifa muungano wa mashirika yasiyo ya kiserikali (Global Call to action against poverty azungumzia mengi kuhusu MDGs- 01 Octoba 2007. |
 |
Mr Juma Asiago, Afisa wa Programmu anayeshughulikia makaazi ya kibiinadamu pamoja na usalama katika miji, UNHABITAT azungumza juu ya matumizi mabaya ya silaha nchini Kenya - 03 Octoba 2007. |
 |
Mr Paul Wambua, Afisa wa Programmu UNHABITAT azungumza juu ya mikakati ya kuunganisha vijana kati ya bara Africa na Uraya - 27 Septemba 2007. |
 |
Ms Penina Gathuri, Afisa wa Programmu UNIFIFEM aelezea mengi kuhusu shughuli za UNIFEM nchini Somalia katika miaka ya hivi karibuni- 24 Septemba 2007. |
 |
Mr Henry Ndede, Afisa wa Programmu UNEP azungumza juu ya harakati za UNEP na wengineo kusuusafisha mto wa Nairobi - 20 Septemba 2007. |
 |
Mr Samson Maita mkuu wa taasisi ya Omar kutoka malindi inayoshughilia kubadilishwa kwa taabia kwa vijana wanao shinda ya ulanguzi wa maadawa ya kulevya - 10 Septemba 2007 |
 |
Ms Ruth Amatalo afisa wa WFP Kenya pande ya Pwani aongea juu ya huduma za WFP kwenye wilaya za pwani - 04 Septemba 2007 |
 |
Ms Ruth Amatalo afisa wa WFP Kenya pande ya Pwani aongea juu ya huduma za WFP kwenye wilaya za pwani - 03 Septemba 2007 |
 |
Mr Samson Maita and Ahmed Mundalis kutoka taasisi ya Omar kutoka malindi waongea juu ya madhala ya madawa ya kulevya. - 29 Agosti 2007 |
 |
Mr David Kimaiyo, naibu wa kamishna wa polisi, Kenya, azungumzia juu ya madhala ya silaha ndogondogo katika kufunguliwa kwa maonyesho yaliyomo UN Gigiri, Nairobi - 13 Agosti 2007 |
 |
Mr Peter Munya, naibu wa waziri wa usalama wa ndani nchini Kenya, azungumzia juu ya madhala ya silaha ndogondogo katika kufunguliwa kwa maonyesho yaliyomo UN Gigiri, Nairobi - 10 Agosti 2007 |
 |
Ms Naki Kiroga, mshiriki kutoka Tanzania wa kongamano na Ms Mgoma Kangi kutoka Kenya wasimulia kuhusu makubaliano ya EARMUN - 03 Agosti 2007 |
 |
Ms Beatrice Mwongela, Afisa Msimamizi wa shirika la WFP eneo la mashariki na Kaskazini mashariki mwa Kenya, asema mengi kuhusu vile shirika hilo hujua watu wanaohitaji msaada wa chakula nchini Kenya - 2 Agosti 2007 |
 |
Ms Beatrice Mwongela, Afisa Msimamizi wa shirika la WFP eneo la mashariki na Kaskazini mashariki mwa Kenya, asema mengi kuhusu vile shirika hilo hujua watu wanaohitaji msaada wa chakula nchini Kenya - 2 Agosti 2007 |
 |
Mr Charles Kyalo, mratibu mkuu wa kongamano la kielelezo cha Umoja wa Mataifa, EARMUN na Mr Lawrence Juma mratibu kutoka Tanzania wasimulia kuhusu EARMUN - 31 July 2007 |
|
Ms Peninah Gathuri, afisa wa Programmu, UNIFEM azungumzia juu ya harakati za shirika la wanawake la umoja wa mataifa (UNIFEM) nchini Somalia - 27 Julai 2007 |
|
Mr Isaiah Ofuyo afisa wa habari za uma WFP aongea zaidi juu ya huduma za shirika la chakula ulimwenguni (WFP) nchini Kenya - 20 Julai 2007 |
|
Mr Peter Ndumbi, mmoja wa afisa mwandarizi, UNHABITAT azungumza juu ya bidii za kuondoa vijana kutoka kwa uraibu wa dawa za kulevya - 16 Julai 2007 |
|
Naibu wa Katibu mkuu wa Mataifa, Dr Asha-Rose Migiro azimulia kuhusu ziara yake barani Africa, kuhusu mkutano wa wanawake ulioandaliwa hapa Kenya na pia kuhusu watu wanaoishi na virusi vya ukimwi katika Umoja wa Mataifa. - 05 Julai 2007 |
|
Ms Nais Mason, afisa anayefanya kazi na UNICEF azungumza juu ya kuzinduliwa kwa mpango wa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi ambao ni wafanyikazi wa Umoja wa Mataifa. - 04 Julai 2007 |
|
Mr Caleb Angila, mkurugenzi wa mradi wa Asumbi, Homabay, Kenya, mradi wa urekebishaji wa tabia za walaibu wa dawa za kulevya- 03 Julai 2007 |
|
Dr Philista Onyango, Direkta wa ANPPCAN aongea kuhusu ya ulanguzi wa wanadamu katika mkutano uliokuwa Kampala, Uganda- 27 Juni 2007 |
|
Ms Susan Gitau, Mshauri wa UNODC aongea juu ya matumizi ya dawa za kulevya nchini Kenya - 23 Juni 2007 |
|
Ms Agnes Musau, Afisa wa Programmu, Child Welfare Society - Kenya, aongea juu ya uajili na kufanyishwa kazi kwa watoto kinyume cha sheria - 22 Juni 2007 |
|
Ms Ursula Sore Bahati, Meneja wa Programmu ya jinsia na utawala UNIFEM, aongea juu ya adhali za magonjwa ya ukimwi kwa wanawake - 21 Juni 2007 |
|
Mr Isaiah Ofuyo afisa wa habari za uma WFP aongea zaidi juu ya huduma za shirika la chakula ulimwenguni (WFP) - 19 Juni 2007 |
 |
Ms Agnetta Mirikau, Afisa wa Watoto UNICEF, aongea mengi kuhusu siku ya mtoto wa Africa iliyosherehekewa tarehe 16 Juni 2007 - 18 June 2007 |
 |
Ms Miriam Nduta na Ms Joan Ikandi kutoka shule ya Mary Hill, Thika waongea juu ya unyanyasaji wa watoto - 14 Juni 2007 |
 |
Ms Purity Kagura, Afisa wa Bustani aongea juu ya siku ya Mazingira Ulimwenguni - Kenya 2007 - 9 June 2007 |
 |
Mr David Ombisi, Afisa wa Programmu, UNEP aongea juu ya kubadilika kwa mazingira - 5 Juni 2007 |
 |
Makamu wa Rais Moody Awori aongea mengi juu ya unyanyasaji wa watoto - 28 Mai 2007 |
|
|