Home
 About UNIC
 Media Accreditation
 Latest News
 UN Gazeti
 Library and Publications
 UN Days & Observances
 UN in Kenya Person of the year
 Model United Nations
 Educational Outreach
 Liaison with NGOs
 UNIC Nairobi Photo Gallery
 Key UN Resources
 UN Agencies in Nairobi
 UN Agencies in Kampala
 UN Agencies in Victoria

 

 

Kiswahili Radio Programme - Timiza Ahadi

Every day, the United Nations Information Centre (UNIC) records a 5-minute radio Programme aired on the Kenya Broadcasting Corporation (KBC) Radio. The Programmes feature news related to the work of the United Nations in Kenya. The Programme has been on air, on weekdays, since January 2006 at 9.15 AM, on the Kenya Broadcasting Corporation’s Idhaa ya Taifa (Kiswahili service).

Within the first year, two hundred and thirty eight (238) episodes have been aired. The objective of the daily 5-minute Kiswahili radio Programme is to educate the general public on the importance of the Millennium Development Goals and their relevance, and to communicate to the general public the objectivities and activities of the United Nations Agencies operating in the country. The Programme is presented by a KBC Senior Radio Producer and Head of Current Affairs, Martin King’asia, and produced by Irene Mwakesi, National Information Officer UNIC.

The broadcast also provides a platform for UN agencies in Kenya to report on their various activities across the country. The title of the Programme and its focus is closely related to the Millennium Declaration and Millennium Development Goals, the challenges to achieve them in Kenya and achievements recorded by UN agencies together with government and donor partners.

Programu iliyo hewani
cemiride
Mr Nichola Oduor, mwanafunzi aliyekuwa katika juu ya kongamano la 26 Septmba - 02 Octoba 2008, kuhusu ya maswala ya ukimwi juu ya watoto- 29 Octoba 2008.
Programu zinginezo
cemiride
Ms Anne maureen Nyambura, mwanafunzi aliyekuwa katika juu ya kongamano la 26 Septmba - 02 Octoba 2008, kuhusu ya maswala ya ukimwi juu ya watoto- 28 Octoba 2008.
cemiride
Ms Edwina Orowi, mwanachama wa Tamasha, Arusha, azungumzia juu ya kongamano la 26 Septmba - 02 Octoba 2008, kuhusu ya maswala ya ukimwi juu ya watoto- 27 Octoba 2008.
UNHABITAT
Mr Mwaura Kaara, wa UN -Millenium campaign, aongea zaidi juu mada ya kusimama kupinga jaa ulimwenguni - 17 Octoba 2008.
UNHABITAT
Prof. Jossy Materu, afisa mwandamizi wa UN-Habitat azungumzia juu ya programmu za UN-Habitat huko ziwa Victoria - 16 Octoba 2008
UNIFEM
Mr Mwangi Waituru, mshirikishi wa kitaifa muungano wa mashirika yasiyo ya kiserikali (Global Call to action against poverty) azungumzia juu ya siku ya kupigana na ufukura duniani- 15 Octoba 2008
UNHABITAT
Mr John Kariuki, naibu afisa mkuu wa afya umma kwa wizara ya afya na umma, aongea zaidi juu ya siku ya kuunawa mikono - 14 Octoba 2008.
UNHABITAT
Mr John Kariuki, naibu afisa mkuu wa afya umma kwa wizara ya afya na umma, aongea zaidi juu ya siku ya kuunawa mikono - 10 Octoba 2008.
UNHABITAT
Prof. Jossy Materu, afisa mwandamizi wa UN-Habitat azungumzia juu ya ziara ambayo ilikuwa Bahrain kwa minajiri ya wakuu wa Wilaya katika Afrika Mashariki - 08 Octoba 2008
Gilruth
Mr Gilruth Peters mkurugenzi wa UNEP kitengo cha tahadhali ya mapema na taadhmini, aongea zaidi juu ya taahadhali za mabadiliko ya hew - 07 Septemba 2008.
Gilruth
Mr Emmanuel Nyabera anayeshikiria maswala ya mawasilian katika shirika la UNHCR, juu ya fujo zilizoko Somalia -06 Septemba 2008.
Gilruth
Mr Gilruth Peters mkurugenzi wa UNEP kitengo cha tahadhali ya mapema na taadhmini, aongea juu ya taahadhali za mabadiliko ya hew - 10 Septemba 2008.
UNHABITAT
Mr Gift Katani, Afisa wa Mipango, UN-Habitat, azungumzia mengi kuhusu kazi ya shirika la Maakazi duniani - 12 Septemba 2008
UNHABITAT
Mr Kenneth Kamenchu, mtaalamu wa maswala ya Vijana na Spoti kutoka UN-habitat, azungumzia mengi kuhusu siku ya vijana ulimwenguni - 12 Agosti 2008
UNHABITAT
Mr Peter Kagwimi, afisa wa ushirikiano wa kijamii na Pauline Nyota, Umade Trust wakizungumzia kuhusu uzinduzi wa mradi endelevu wa kuzoa taka mjini Kisumu- 22 Julai 2008
Gilruth
Mr Henry Ndede mshirikishi wa Programmu, UNEP azungumzia juu ya usafishaji wa mto Nairobi - 17 Julai 2008.
Gilruth
Mr Gilruth Peters mkurugenzi wa UNEP kitengo cha tahadhali ya mapema na taadhmini, aongea juu atlasi iliyozinduliwa na UNEP- 15 Julai 2008.
World Food Programme
Mr Isaiah Ofuyo afisa wa habari za uma WFP aongea zaidi juu ya huduma za shirika la chakula ulimwenguni (WFP) nchini Kenya - 17 Juni 2008
UNHABITAT
Prof. Jossy Materu wa UN-Habitat juu ya Miradi ya UN-Habitat mjini Kisumu na mazingira ya ziwa Victoria - 16 Juni 2008
Gilruth
Mr Gilruth Peters mkurugenzi wa UNEP kitengo cha tahadhali ya mapema na taadhmini, aongea juu adhali za maabadiliko ya hewa nchini Kenya - 12 Juni 2008.
UNHABITAT
Prof. Jossy Materu wa UN-Habitat juu ya Miradi ya UN-Habitat mjini Kisumu na mazingira ya ziwa Victoria - 11 Juni 2008
Rukia Bi Rukia Subow , mwenyekiti wa shirika la wanawake nchini Kenya, azungumzia juu ya kulejesha amani baada ya ghasia zilisokuweko nchini baada ya uchaguzi mkuu - 09 Juni 2008.
cemiride Lt Generali Julius Waweru Karangi, naibu wa mkuu wa majeshi ya Kenya katika sherehe za kuadhimisha miaka 60 tangu Umoja wa mataifa kuaaza mradi wa kulinda amani duniani - 30 Mai, 2008.
cemiride Lt Generali Julius Waweru Karangi, naibu wa mkuu wa majeshi ya Kenya katika sherehe za kuadhimisha miaka 60 tangu Umoja wa mataifa kuaaza mradi wa kulinda amani duniani - 29 Mai, 2008.
cemiride Bi Rukia Subow , mwenyekiti wa shirika la wanawake nchini Kenya, azungumzia juu ya kulejesha amani baada ya ghasia zilisokuweko nchini baada ya uchaguzi mkuu - 28 Mai, 2008.
cemiride Dr Brigitte Nyambo, afisa msimamizi katike shirika la sayanzi ya wadudu kwa ajili ya chakula na afya (ICIPE) katika kuadhimisha siku ya uhanuai- 20 Mai 2008.
cemiride Mr Emmanuel Mpinga, afisa mtaalamu wa elimu wa wavuti katika kitengo cha DCPI, UNEP - 29 April 2008.
cemiride Mr Emmanuel Mpinga, afisa mtaalamu wa elimu wa wavuti katika kitengo cha DCPI, UNEP - 29 April 2008.
UNIFEM Ms Pamela Tuiyot, afisa wa mawasiliano katika shirika la UNIFEM azungumzia juu ya mapendekezo yaliyotololewa kwa taadhmini iliyotiwa sahihi hasa kuhusu dhuruma za wanawake nchini Kenya - 28 April 2008.
UNIFEM Mr Mwangi Waituru, mshirikishi wa kitaifa muungano wa mashirika yasiyo ya kiserikali (Global Call to action against poverty) azungumzia juu ya kupigana na ufukura duniani- 22 Februari 2008
UNIFEM Ms Pamela Tuiyot, afisa wa mawasiliano katika shirika la UNIFEM azungumzia juu ya athari za mzozo wa kisiasa unaoikumba nchi ya Kenya - 20 Februari 2008.
cemiride Mr Gilruth Peters mkurugenzi wa UNEP kitengo cha tahadhali za mapema na taadhmini, azungumza juu ya hali ya maji nchini Kenya na changamoto zake - 06 Februari 2008
UNIFEM Ms Pamela Tuiyot, afisa wa mawasiliano katika shirika la UNIFEM azungumzia juu ya mchango wa UNIFEM kuhusu usaidizi wanayotoa kufuatia ghazia za kisiasa nchini Kenya - 05 Februari 2008.
cemiride Ms Olivia Yambi, mwakilishi wa UNICEF nchini Kenya, azungumzia jua ya maadhala ya aghasia za kisiasa kwa wamama na watoto - 03 Februari 2008.
cemiride Mr Bernard Kiura, afisa wa Programmu ILO/IPEC azungumzia juu ya maadhala ya ghasia za kisiasa katika mipango ya ILO/IPEC - 30 Januari 2008.